Program ya C9zinavyoweza kupunguza uzito, ?

Sir M.D.Andrew

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
202
Reaction score
37
Wakuu habari zenu. Mm ni mtu mzima , 41yrs. Ningekuwa nikifanya diet na mazoezi mara kwa mara lakini sipungui uzito, sasa Nina 126kgs.

Ninaomba ushauri kuhusu bidhaa ya C9 kutoka forever kama inasaidia. Nimekosa uthibitisho wa kisayansi kuhusu namna program hizi za C9 na Fit 15 zinavyoweza kupunguza uzito, ninahitaji dawa ambayo ni salama angalau nipunguze kilo 10 tu kwa awamu ya kwanza. Asante
 
Unaweza sana tu kupungua uzito kwa program ya C9.

Ila usidhani just ukitumia tu ndio utapungua. Kuna mikakati mengineyo uifanye. Ikiwemo balancing diet na mazoezi.
Unatakiwa ujitahidi kwenye ku burn calories huku uki take in calories chache.
So issue inabaki palepale, kufanya mazoezi na diet. C9 ni km inakusaidia kuongeza discipline tu
 
Back
Top Bottom