Recent content by 2v2

  1. 2v2

    Je, unaweza kuwa kwenye uhusiano mpya lakini bado ukawa unaathirika na maumivu ya uhusiano uliopita?

    Nimekuwa nikitafakari jambo hili na nimejiuliza maswali kadhaa. Je, kuna watu ambao tayari wana wapenzi wapya, wanawapenda na wanaendelea na maisha yao, lakini bado wanabeba maumivu, hofu au kumbukumbu za mahusiano yao yaliyopita? Kwa mfano: Bado unaogopa kuachwa tena kwa sababu ya...
  2. 2v2

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Mhhhh sina hata la kusema kwakweli ila mwenyezi Mungu atusamehe
  3. 2v2

    Wanaume nani katuroga kumjali Mwanamke kuliko mzazi?

    Hata huyo mzazi wako alikuwa na wake aliye mjali, jali wako na usifananishe kati ya mzazi na demu au mchumba wako wana nafasi tofauti kabisa
  4. 2v2

    Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

    Usiwajibike na majukumu mengine tu, hilo nalo ni jukumu lako pigilia misumari haswa we unadhani atafunga nyenge zake au unadhani anahitaji kula na kuvaa tu tumiza wajibu wako
  5. 2v2

    Mke wangu anashindia kanga moko muda wote

    Napenda sana vipindi vigumu kama hivyo
  6. 2v2

    Hasara za ndoa!

    Kwahiyo
  7. 2v2

    Ewe mwanaume, hupendwi kama unavyodhani

    🧖 maisha yashakuwa marahisi usiyafanye kuwa magumu
  8. 2v2

    Nataka nianze kumkopesha Wife, Unanishauri Je?

    Binafsi nashindwa kuelewa ingawa sijamaliza kusoma ila ni vyema kusimama kuwa kitu kimoja lazima mjadili mnasaidiaje majukumu ya nyumbani na ya nyumbani kwa kila mmoja anapotoka na mue na usawa
  9. 2v2

    Dar :Vijana 1,000 wachunguzwa, asilimia 80 wana shida ya afya ya akili

    Kuna kitu nashindwa kuelewa naonaga kila mtu ana changamoto za kimaisha kwa namna moja au nyingine zinaweza kumletea athali katika maisha ya kila mtu, sasa nashindwa kuelewa ni vigezo vipi wanatumia kupima kujua huyu ana changamoto na huyu hana.
  10. 2v2

    Ni sahihi kulala na ex wako mara ya mwisho kabla ya kuolewa/kuoa?

    Vitu vingine haviitaji hata ushauri, jinga jabisa
  11. 2v2

    Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mbona kama hii nchi kila mtu anaamua kivyake
  12. 2v2

    Kila nikikutana na wazee/watu wakiniuliza swali "una mchumba?" Najikuta naumia

    Kuna dada mmoja aliniwashia moto baada ya kumwambia namwihitaji sikuwa na plan naye nilimweleze tu ukweli
Back
Top Bottom