Hivi, swali hili linalenga sana wanaume. Ukimkataa mtoto, na mwisho wa siku mahakama inaamuru kipimo cha DNA kifanyike, mtoto anakutwa wa kwako, akikuwa, utamueleza nini?
Mwanaume, unakaa na mwanamke, unamzalisha, umri unamtupa nachakaa, unamuona wa nini, unamkimbia na kila kitu.
Jamani, mtu kama humtaki, na umekaa ukafikilia ukaona hafai kuwa tena mkeo, kumbuka...
SIKATAI niko kuwa nimeolewa..
Lakini, kuna haka kashikaji kamehamia majuzi, ni moto wa kuotea mbali.
Kajinga kashanichanganya hadi nikaamuwa nimdanganye mme wangu kuwa naenda kumuona dada...
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?
MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladala
MKE: Na lipstiki kwenye shati?
MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi...
Nchini Kenya, umri wa kuruhusiwa kunywa pombe, umetoka 18 hadi 21.
Nchini Rwanda, baa na maeneo mengine, japo umri ni miaka 18, lakini masaa yamepunguzwa. Muda elekezi ni kutoka saa kumi jioni...
Rwanda, pamoja na nchi nyingine za Afrika mashariki, hasa Kenya na Uganda, zimeiomba Tanzania kuhakikisha inafuata utaratibu uliowekwa na nchi wanachama, kurahisisha shughuri za kiuchumi kati ya...
French media giant Canal+ has officially acquired MultiChoice Group in a landmark $3 billion deal.
This move gives Canal+ full control over popular African pay-TV platforms DStv and GOtv, as well...