M mamah Member Joined Apr 8, 2009 Posts 31 Reaction score 2 Dec 10, 2010 #1 yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31?
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Dec 10, 2010 #2 mamah said: yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31? Click to expand... alisema jk bado anang'aa
mamah said: yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31? Click to expand... alisema jk bado anang'aa
K kambipopote Senior Member Joined Nov 15, 2010 Posts 121 Reaction score 22 Dec 11, 2010 #3 mamah said: yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31? Click to expand... Atakuwe mjini humu anatafuta uzushi wa kuwachanganya watanzania kama desturi yake:target:
mamah said: yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31? Click to expand... Atakuwe mjini humu anatafuta uzushi wa kuwachanganya watanzania kama desturi yake:target:
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Dec 11, 2010 #4 yupo nilimshuhudia akisema yaliyotokea yote aliyatabiri........na CCM wajirekebishe maana upinzani umekuja juu.....lakini hata yeye anapenda upinzani.....ni mzuri
yupo nilimshuhudia akisema yaliyotokea yote aliyatabiri........na CCM wajirekebishe maana upinzani umekuja juu.....lakini hata yeye anapenda upinzani.....ni mzuri