Yuko wapi?

Yuko wapi?

mamah

Member
Joined
Apr 8, 2009
Posts
31
Reaction score
2
yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31?
 
yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31?

Atakuwe mjini humu anatafuta uzushi wa kuwachanganya watanzania kama desturi yake:target:
 
yupo nilimshuhudia akisema yaliyotokea yote aliyatabiri........na CCM wajirekebishe maana upinzani umekuja juu.....lakini hata yeye anapenda upinzani.....ni mzuri
 
Back
Top Bottom