Wasiolipa maji, wawekwa CRB(Credit Reference Bureau)

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,489
Reaction score
1,466
Nchini Rwanda, watumiaji wa maji walioshindwa kulipa Bill zao, kuanzia sasa kuwekwa katika mfumo wa CRB. Mfumo huu, huwazuia watu kupata huduma mbali mbali, maana kila inapoingizwa namba yako ya kitambulisho, unaonekana mdaiwa sugu. Hivyo, bila kulipa, huduma nyingi za kijamii na kiserikali hupati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…