Jannatul Firdaus JF-Expert Member Joined Aug 4, 2026 Posts 448 Reaction score 1,119 Sep 16, 2026 #1 Asilimia kubwa ya Millenium na Gen Z kizazi kisichokunywa chai asubuhi wamepitia hii. Wakishua hawawezi kuelewa . Asilimia kubwa ya jamii ambayo maisha yake ni ya kawaida , mtoto kuoga mpaka ashikiliwe huku na huku ndo aoge huku akisuguliwa kwa nguvu. Your browser is not able to display this video.
Asilimia kubwa ya Millenium na Gen Z kizazi kisichokunywa chai asubuhi wamepitia hii. Wakishua hawawezi kuelewa . Asilimia kubwa ya jamii ambayo maisha yake ni ya kawaida , mtoto kuoga mpaka ashikiliwe huku na huku ndo aoge huku akisuguliwa kwa nguvu. Your browser is not able to display this video.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,818 Reaction score 105,203 Sep 16, 2026 #2 Mwamba haelewi
Psalm_27 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2026 Posts 1,648 Reaction score 3,299 Sep 16, 2026 #3 Hahahahaaaaaa siku hizi mitoto inapauka sana kama haijaoga, wazazi hawana mda wa kusugua tena....... mitoto!
Hahahahaaaaaa siku hizi mitoto inapauka sana kama haijaoga, wazazi hawana mda wa kusugua tena....... mitoto!