dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,758
- 18,809
Wakuu ndani kwanz combradhi San sikuwepo humu muda mrefu sana nilikuwa napambna na maisha na harakati za kisiasa . anyway maisha ni magumu sna jamani lakini hvyo hvyo tunasonga kwa uwezo wa mwenyenzi Mungu
Sas wakuu wangu natakiwa nifanye maamuzi magumu juu ya mwanamke wa kumuoa mwakani 2027 najuwa nimewai kuwa mfuanzi na member wa kataa ndoa ila sasa natubu hakika, kwamba mimi Dr namugari nahitaji kuoa nijenge maisha yangu kama mzee wangu prof................alivyo fanya nakutazaa sisi watot wake wote ...... kwenye ndoa takatifu
Wanawake waliopo currently kwenye list yangu ni kama wafuatavyo
1.msukuma
2.masai
3.masai
4.mchaga
5 .muhaya
6 .mgogo
Wakuu Niko desperate sana katika kuchagua naona kbsa moyo wangu unamtaka huyu msukuma over others women .hapa wamasai wawili naona kbsa ni Wale much know Mmoja ni mwalimu na mwingine sijui ni mshabik wa man u sijui masai katoka wapi na mipira ingawa mama ake ni bos wangu ktk taasis Moja hv ingawa ni mkubwa San yule hakosi miaka 35
Na muhaya ni mkimya sana na mtu wa hofu sana na Yuko desperate sna baaada ya kukosa kaz ya .....huwa simulewi kbsa ni mpole mkimya
Mchaga kama. Kawaida yake naona kbsa ameniona kama mtu ambae nitampa future nzuri na ameniacha ila kanirudi tena Na mm nikampotezaea kwa kifupi Sina mzuka nae
Mgogo kama mnavyo juwa ni mshamba fln hajasoma kbsa ameishia daras la saba na mm ni ......... Simuwez kbsa naona kama hanifai Bado sna so ignore her completely hafai kila sa anaongea kigogo
Mm binafsi nimedata sna na msukuma wa kahama ni mpole muelewa amesoma had chuo kikuu Mmoja hapa mjini .....ni mpole nimuelewa ana vision nzuri sna. Ananivutia San huwenda tukazikilizana nakuwaza sna
Kwa mmasai mwalimu yeye ni mlokole na mjivuni San kila wakti ni kufunga na kuomba sna mara nyingi ana nossitiza kuokoka na kwenda kusali ktk kanisa lake ni bint mzuri ila ana majivun na ni wale hukuambii kitu nabii wake
Jmn nimbie wasukuma wanawake wako vip katk ndoa. Za mjini maan mm naishi mjini hv sas natamani kufika nae mbali ila siwajui haswa haswa
Embu nipeni abcd za hawa watu nijiandae kisaikologia
Mod kama vip hii post ipelekwe Instagram huwenda kule nitapat pia ushauri mzuri