VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
Mwanamke akifua nguo za mmewe au mpenzi wake, akikuta hela, anakausha,kama hakijatokea kitu. Acha akute Condom sasa! Anacharuka kama si yeye.
Kwenu wanawake, Si na kwenye hela basi iwe inakuwa hivo hivo!!