Wakati mwaka unaelekea mwishoni................

Wakati mwaka unaelekea mwishoni................

Joined
Dec 4, 2010
Posts
18
Reaction score
0
Ndugu wana JF wakati mwaka 2010 unaelekea mwishoni sisi tukiwa ni great thinkers tuna yapi ya kujivunia kwan chi yetu (Tanzania) mwaka huu unaokwisha. Yapi yanaweza kutufanya tuuone mwaka huu kuwa ni wa kukumbukwa?
Naomba kuwasilisha!
 
uchaguzi mkuu 'huru na wa haki'

(hivi tunacho cha kujivunia tena kama nchi?)
 
Hakuna cha kujivunia kama nchi, labda mtu mmojammoja atakuwa na cha kujivunia!
 
Back
Top Bottom