Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,381
- 71,292
Principle ya ulimwengu, huwezi kupata kama wewe sio mtoaji. Lazima utoe ili uweze kupokea, ndio maana hata kanisani tunahubiriwa kutoa kadiri tuwezavyo ili tupokee baraka zake. Sasa wanataka kupishana na principle za ulimwengu😁😁Hatari viumbe vinaomba hivyo balaaa...omba wewe sasa mbunye vinavyo kasirika.