Vita sio lelemama

Vita sio lelemama

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,199
Reaction score
35,918
FB_IMG_1792760351733.jpg

Hapa ukute upo mbali na mtu wa medic alafu mmetanganishwa na line of fire, mguu lazima uoze aisee.
 
We unasema hiyo. Kuna kisa kimoja niliadisiwa na mtu kwamba alipigwa singe tumboni msituni utumbo ukaanza kutoka nje. Singe ni ile ncha inayokuwa kwenye silaha mbele, ni kisu kile.
 
Back
Top Bottom