Utamkumbuka Samia kwa yapi?

Eeh mwenyezi Mungu nifundishe kunyamaza kwani nitakayosema hayawezi kubadili chochote nchi hii.
 
Rais form four failure kupata kutokea Tz
Swali la msingi ni kwamba; je, hiyo form four yake imemuwezesha kuwahenyesha manyumbu au imeshindwa?!!! Kama imemuwezesha kuwa Kiboko ya manyumbu basi hivyo ndivyo tunavyotaka watanzania wazalendo na 2030 tutamleta form four mwingine amalizie palipobaki.


Kwahiyo hako kasentensi kakilofa mkikolishana hakina maana.
 
Inawezekana akafika mwisho wa term yake hapo 2030

Je kuna yapi ambayo wewe unadhani atakumbukwa kwayo.

Yawe mabaya au mazuri

Uwanja ni wako
Kutuletea maaskari kutoka Uganda kuja kuua watu Oktoba 29,2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…