VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,465
Kuna siku nliambiwa nimtaje rafiki yangu alaf atapigiwa simu nayye akinitaja me napewa 10000 nikamtaja aseee tena ni mtu nimekaa naye room moja kabisa na tunawasiliana kila siku
alipoulizwa hakunitaja, akaambiwa ataje watano bado sikwepo
Tangu siku hyo nikaanza kupenda misosi maana rafiki wa kweli ni njaa haiwezi pita siku bila kunikumbuka
Tangu siku hyo nikaanza kupenda misosi maana rafiki wa kweli ni njaa haiwezi pita siku bila kunikumbuka