youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,946 Reaction score 4,117 Nov 6, 2026 #1 Kama ungeweza kurudi miaka mitano nyuma, ni kosa gani moja la kimaisha au kibiashara ambalo usingelirudia tena? Tuambiane kwenye comments. Huenda somo lako likamsaidia mtu mwingine asiingie kwenye mtego uleule.
Kama ungeweza kurudi miaka mitano nyuma, ni kosa gani moja la kimaisha au kibiashara ambalo usingelirudia tena? Tuambiane kwenye comments. Huenda somo lako likamsaidia mtu mwingine asiingie kwenye mtego uleule.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 56,231 Reaction score 56,528 Nov 6, 2026 #2 Haiwezi rudi
khamis kilo JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 1,227 Reaction score 1,552 Nov 6, 2026 #3 Huu uzi una wahusu watu wa kuanzia umri gani (miaka)?.
SamuraiJack JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 465 Reaction score 744 Nov 6, 2026 #4 Nisingeonja kabisa pombe
DCI Comrade One JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 930 Reaction score 1,338 Nov 6, 2026 #5 Ndio ishapita hiyo irudishe Kwanza uone majuto 😬
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,924 Reaction score 113,481 Nov 6, 2026 #6 SamuraiJack said: Nisingeonja kabisa pombe Click to expand... Shindwa.....🤨
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,872 Reaction score 139,635 Nov 6, 2026 #7 Itasaidia nini sasa na wakati ulishakosea? Cha msingi tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa yetu ya awali ili kujiepusha kuyarudia tena.
Itasaidia nini sasa na wakati ulishakosea? Cha msingi tunatakiwa kujifunza kutokana na makosa yetu ya awali ili kujiepusha kuyarudia tena.