Ushauri juu ya hili nipo njia panda

Ushauri juu ya hili nipo njia panda

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
470
Reaction score
645
Nimemaliza masters ya public management nje ya nchi, nimerudi Tanzania tangu mwaka jana mwez wa 8, nimekumbana Na janga hili la ajira kusitishwa nimekaa home sina ishu ya kufanya pia niliunga masters cjawah kufanya kaz Na nilimaliza bachelor ya community development.

Now mmoja wa prof wangu aliyenisimamia research wakati nipo nje ananiita nikasome Phd, nipo njia panda je nisubiri mpaka ajira zifunguliwe? Or niondoke nikapige Hiyo Phd then sina experience ya kazi. Asanten
 
Aiseee!!! endelea kusubiri watakuja mabingwa wa kujua mambo watakupa ushauri kama hii sio hadithi.

Nimemaliza masters ya public management nje ya nchi, nimerud Tanzania tangu mwaka jana mwez wa 8, nimekumbana Na janga hili la ajira kusitishwa nimekaa home cna ishu ya kufanya pia niliunga masters cjawah kufanya kaz Na nilimaliza bachelor ya community development, now mmoja wa prof wng aliyenisimamia research wakat nipo nje ananiita nikasome Phd, nipo njia panda je nisubir mpaka ajira zifunguliwe? Or niondoke nikapige Hiyo Phd then cna experience ya kaz. Asanten
 
Kasome Ph.D. Maaana ajira Zinaweza Zika achiwa NA usipate!!
Ila ukirud with your Ph.D. Utakua NA options nyingi zaidi!
 
kama una ishu bongo nenda zako kasome tu maana ni bure.... ila kama unalipa ada sikushauri urudi shule
 
Kama ni bure nakushauri rudi kapige shule mkuu ila kama ni unajigharamikia mwenyewe sikushauri,bora hyo ada ufungue hata genge la nyanya.
 
Back
Top Bottom