Hizi ni kejeli za watu wanao ona urefu wa pua zao!
..............kwi, kwi, kwi, kwi!!!!!!!!!!!!
..............kwi, kwi, kwi, kwi!!!!!!!!!!!!
Usilolijua ni kama usiku wa kiza. Wamarekani wana mission nying sana duniani na nyingine ni beyond kiwango cha kufikirika na watu wa kawaida kama sisi. Hizi tuhuma inawezekana ni kweli, tusubirie proof.
Amerika ni big terrorist na nitishio kubwa kwa amani ya dunia kuliko alqaida, afteral, walianza kuuwa na kutumia silaa kali against human miaka mingi iliyopita
Ni State sponsered military coup, distabalising against other countries, anae tetea amerika kwa unyama anofanya duniani bilashaka atakua na matatizo ya akili, upeo mdogo.
All the time. May God help you to open up your eyes and see a full rather than just the tip of iceberg.
"... They (the Kuffaar) yearn for that which distresses you. MOST CERTAINLY, HATRED HAS FUMED FORTH FROM THEIR MOUTHS, BUT THAT (HATRED) WHICH THEIR HEARTS CONCEAL IS FAR WORSE. "Verily, We have clearly explained for you the signs (of their hatred and plots), if indeed you (O Believers!) employ your intelligence)." (Qur'aan, Aal-e-Imraan, Aayat 11
Usilolijua ni kama usiku wa kiza. Wamarekani wana mission nying sana duniani na nyingine ni beyond kiwango cha kufikirika na watu wa kawaida kama sisi. Hizi tuhuma inawezekana ni kweli, tusubirie proof.
Wewe bado uko nyuma sana, changamka,angalia mbele, wenzio tayari wameshakuzingira!
If I may quote the JF philosopher, Julius the Great: "Miafrika ndivyo ilivyo." Only africans like them ****above (excuse my language) can believe this pure crap.Hizi ni kejeli za watu wanao ona urefu wa pua zao!
Asante sana. mijitu mingine sijui inatumia makamasi badala ya ubongo kufikiria. Hayo matetemeko makubwa zaidi huko Calfornia ,1992, June 28 ukubwa wa 7.3 bila shaka yalisababishwa na Marekani kuandaa mpango wa kuifuta Afrika ambao uliwarudi. Na hili la Japan huko Kanto kwenye kisiwa cha Honshu September 1, 1923. ukubwa wa 8.3 bila shaka liliandaliwa na Marekani kwa sababu Japan ilikuwa ianze kutengeneza magari ya Toyota ambayo yangeua soko la chevrolet. Pia Tsunami iliyosababishwa na tetemeko la ardhi la ukubwa kati ya 9.1 na 9.3 huko sumatra mwaka 2004 lilisababishwa na Marekani!!!!Anywayz inawezekana wametest hata kule Mpwapwa na Kilosa!!!!!
If I may quote the JF philosopher, Julius the Great: "Miafrika ndivyo ilivyo." Only africans like them Niggers above (excuse my language) can believe this pure crap.
Asante sana. mijitu mingine sijui inatumia makamasi badala ya ubongo kufikiria. Hayo matetemeko makubwa zaidi huko Calfornia ,1992, June 28 ukubwa wa 7.3 bila shaka yalisababishwa na Marekani kuandaa mpango wa kuifuta Afrika ambao uliwarudi. Na hili la Japan huko Kanto kwenye kisiwa cha Honshu September 1, 1923. ukubwa wa 8.3 bila shaka liliandaliwa na Marekani kwa sababu Japan ilikuwa ianze kutengeneza magari ya Toyota ambayo yangeua soko la chevrolet. Pia Tsunami iliyosababishwa na tetemeko la ardhi la ukubwa kati ya 9.1 na 9.3 huko sumatra mwaka 2004 lilisababishwa na Marekani!!!!
I refuse to be part of this stupidity.
Wewe bado uko nyuma sana, changamka,angalia mbele, wenzio tayari wameshakuzingira!
jamhuri ya kisilamu ya Iran... Ahmedinejad... lol!
Nilikuwa nanukuu maneno yako ya... jamhuri ya kisilamu. lol! Mi nilifikiria hakuna jamhuri ya kisilamu tena. Ah ah ah ah ah!