Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,574
- 16,368
Eti kwann wanamwogopa Yesu kuliko Mtume s w.
Au Mlokole kuliko Mwislam.
acha uongo mbona waneoriginate na kusambaa sana kwenye mataifa ya kikristo? Ooh nmekuelewa kumbe viceversa is true!
Eti kwann wanamwogopa Yesu kuliko Mtume s w.
Au Mlokole kuliko Mwislam.
Kuna uhusiano gan kati ya fremason na catholic church
ninayo mkononi nielekeze ofsi nije nayo*150*01# ok
kisha 1 ok
tena 1 ok
065353**** hapa niulize pm ok
1000000 ok
utaona jina langu MO11
halafu andika namba yako ya siri kisha ok
hapo utakuwa tayari umejiunga