hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 7,691
- 5,616
Hapa huwezi sikia mods futeni uzi 😁
🤣🤣🤣Fanyeni ujinga kwa kijana wangu nawaweka ndani na mtalipa kodi ya miaka mitatu mbele kama faini
Ni Lizuri balaaaBata mzinga huyo
Itakusaidia nini wewe dogo.Kiongozi naomba unitumie hii video inbox
Vijana waneamua wale wazee liveMasihara siku hizi yamepungua