Uchaggani, sitawahi kaa niende huko!

Uchaggani, sitawahi kaa niende huko!

Mazishi yangu

Member
Joined
Aug 23, 2026
Posts
60
Reaction score
245
Nina miaka 15 sijawahi eka mguu mkoa wa kilimanjaro na sitawahi. nimezaliwa uchaggan napaa chukia mno uchaggan hii jamii ya wachagga ni jamii katil mno siwapend hata kdg. wazazi wangu walinitesa mno kipind nikiwa nao walikata kunipeleka shul. pesa za baba alikesha na malaya naye mama alinitesa kwa kunipa makaz magumu mnoh. sikupata mtetez nilisalia mnyonge mama mwenyewe alikuwa ananiambia ana juta kwa nini alinizaa dunian. alikuwa ananiambia mm nina nuksi kwa familia sn msaada wowote kwao. mara nyingi nilitaman nife ila nilijipa nguvu tu. nilivumilia mateso hayo hadi nilipofika miaka 16 nilitoroka nyumbani nikaenda nikawa chokoraa wa mtaanih. nilitaabika ila kwa bahat nilipambana hadi nikaja nikatoboa kimaishah.
 
Experience nzkma ya ww kutokwend auchagani na kujumuisha wote ni sababu uliteswa ww

Ungesema huendi kwenu, na ndugu zako ndio wanafanya hayo, sio wachaga wote
 
niliparangana hadi nikafika mkoa wa kigoma.nikapata ujira huko vijijin kwa mama mmoja ambaye nilikuwa na mlishia ng`ombe wk. nilifanya kazi kwa bidii mama yule akazidi kunipenda kwa sababu nilikuwa mwaminifu. mama huyo alinipromoti nakunipa kazi ya duka.nilizid kutia bidii na baada ya mwaka mmoja nilianzisha kijiwe chang. nilikuwa na choma mihindi hapo baada ya kutoka kazin kule dukan. niliendelea hivyohivyo mpaka nikawa mzoefuh. baada ya miaka miwili nilizama kigoma mjini nikaanza umachingah hivyo na mda si mda nikafungua duka yangu. nilijikaza mpaka saiv nilipo nina whole sale na car wash pia nna hotel. langu tuh nawasih msikate tamaa mungu yupo na yy ndiye nguvu yenu pekee dunia hii!
 
Inawezekana tabia za baba yako ndizo nilikua zinamuumiza mama yako na kwa kufikiri anamkomoa baba yako akawa anakua mkali mno kwako, hakua na pa kutolea hasira zake kwasababu ya udhaifu wake akawa anakutesa wewe .
Pole sana mkuu.
Wasamehe tu ndio maisha.

Hawajawahi kukutafuta toka utoke kwenu? Mahusiano yako na wazazi wako yako sasa??
 
nilipo nina whole sale na car wash pia nna hotel
Juzi juzi hapa ulisema una mwaka mmoja toka umalize Chuo kikuu.
Saiv nimeoa huk kigoma na nina furaha tele nafurahi tuh nikiwaona wanangu na feel so happy
Na pia ulisema unayachukia maisha yako na unapenda kifo na ukatuaga kabisa wana JF kuwa unajimaliza kwa kutumia jiko la mkaa.

Hadi RIP tulitoa in advance.

kutoka Kusema Nyeto forever hadi sasahivi una mke na watoto?.

Dah. Haya sawa mwanetu.
 
niliparangana hadi nikafika mkoa wa kigoma.nikapata ujira huko vijijin kwa mama mmoja ambaye nilikuwa na mlishia ng`ombe wk. nilifanya kazi kwa bidii mama yule akazidi kunipenda kwa sababu nilikuwa mwaminifu. mama huyo alinipromoti nakunipa kazi ya duka.nilizid kutia bidii na baada ya mwaka mmoja nilianzisha kijiwe chang. nilikuwa na choma mihindi hapo baada ya kutoka kazin kule dukan. niliendelea hivyohivyo mpaka nikawa mzoefuh. baada ya miaka miwili nilizama kigoma mjini nikaanza umachingah hivyo na mda si mda nikafungua duka yangu. nilijikaza mpaka saiv nilipo nina whole sale na car wash pia nna hotel. langu tuh nawasih msikate tamaa mungu yupo na yy ndiye nguvu yenu pekee dunia hii!
Kwa maelezo haya wazazi wako walikulea kichaga ili uwe mpambanaj na pia mwaminifu.

Christmas hii rudi kwenu uchagani ukasherehekee na familia/wazazi. upate baraka zaidi.
Shinda ubaya(?) kwa wema.
 
Nina miaka 15 sijawahi eka mguu mkoa wa kilimanjaro na sitawahi. nimezaliwa uchaggan napaa chukia mno uchaggan hii jamii ya wachagga ni jamii katil mno siwapend hata kdg. wazazi wangu walinitesa mno kipind nikiwa nao walikata kunipeleka shul. pesa za baba alikesha na malaya naye mama alinitesa kwa kunipa makaz magumu mnoh. sikupata mtetez nilisalia mnyonge mama mwenyewe alikuwa ananiambia ana juta kwa nini alinizaa dunian. alikuwa ananiambia mm nina nuksi kwa familia sn msaada wowote kwao. mara nyingi nilitaman nife ila nilijipa nguvu tu. nilivumilia mateso hayo hadi nilipofika miaka 16 nilitoroka nyumbani nikaenda nikawa chokoraa wa mtaanih. nilitaabika ila kwa bahat nilipambana hadi nikaja nikatoboa kimaishah.
Mama yako yu hai?
 
Back
Top Bottom