Two faces of Independence!

Two faces of Independence!

Much said bro, but recently you have been very vague about where you stand.

i have never been vague about my stand at all. What I don't agree with many is the selective-ness of whayt may be endorsed as kosher/halal or not!

Vyama vikuu CCM na Chadema (Ukawa) vimevunja kanuni zao na kufanya maamuzi ya kidikteta kuidhalilisha demokrasia, katiba na hata kanuni.

Ila kilichofanywa na Chadema na Ukawa kinashikiliwa bango kubwa sana kama kesi ya mauaji huku lile la CCM linanyamazishwa kuwa kilikuwa kitendo cha kishujaa. Huo ni UNAFIKI!

Leo mgombea wa Ukawa Lowassa anashinikizwa Ufisadi zaidi, Richmond inashikiwa bango kubwa na vitisho vya mengine hatuyasemi.

Ufisadi wa Magufuli wa nyumba za Serikali, uzembe kusimamia wizara na kufanya wizara kuongoza kwa wizi na hujum na hata maamuzi yake mabaya ya kukamata samaki, watu tunalazimishwa tuyafukie chini ya zulia na mkeka na tunaambiwa huyu ndio atakayesawazisha nchi: huo ni UNAFIKI mkubwa.

Kuna mahusisho ya Udini, Lowassa na Uluteri na Gwajima wake kila mtu anaamka na kudai huyu atatuletea udini, lakini ya chinichini ya Magufuli hata ya Lukuvi kuhubiri na kupanda mbegu chafu za udini, yanamwagiwa maji ya sabuni.

Tukubaliane kuwa kama mtu hamtaki Lowassa na aseme hivyo na si kulazimisha ya ufisadi, maana hata Magufuli ni fisadi na waliomweka hapo kama chaguo na kuacha watu waadilifu kabisa wasio na tuhuma ni mafisadi wakubwa.

Sitasimama kwenye Unafiki wa aina yeyote, ndio maana nasema tuchambue ilani na sera na si kupotezeana muda kuchambua mgombea huku haramu tupu imetumika kuleta wagombea na wagombea wenyewe wana najisi na uharamu!

That is my stand bro!
 
Mkuu wangu hapa unachanganya vitu kabisa kwa sababu wanaogombea URAIS ni MAGUFULI na LOWASSA, huwezi kuchukua ya Lowassa kama mbaya ukalijengea hoja ya CCM isipokuwa unatuonyesha mapungufu ya Magufuli mwenyewe na kama unazungumzia Chama CCM basi kipime na Chadema au UKAWA katika malengo yake. Ikiwa leo UKAWA na Chadema wanasema UFISADI sio kipaumbele chao Je, wana tofauti gani na CCM mnayoilaumu kwa Ufisadi?

Sisi tunayempiga vita humu ni Lowassa na wameshatuambia wenyewe kwamba Uchaguzi huu tuna CCM A na CCM B. Kuna mtu ajuaye zaidi ya CCM wenyewe kina Ali Hassan Mwinyi walotupasha kinachoendelea ndani ya siasa za nchi yetu?. Wewe una ushahidi gani dhidi ya mashambulizi ya Mwinyi juu ya uwepo CCM A na CCM B? - What if!

Kwa hiyo, binafsi yangu sikubaliani na mwelekeo wa Chadema kabisa na hivyo haiondoshi makosa ya CCM huko nyuma kwani lengo lao wote ni Kuchumia Tumbo. Aidha Magufuli anayowaahidi ni ya kweli au Uongo nampima yeye na Lowassa ambaye historia yake inatisha. Nimeyasema haya sana tu humu baada ya kuwashtukia na sasa ikiwa kipimo ni Uzalendo, uadilifu, Uwajibikaji n.k na imedhihirika wazi baina yao hakuna mwenye nia ya dhati, iweje nichague mazuri ya UKAWA kwa sababu ya mabaya ya CCM ilihali Chadema wenyewe wamevunja kanuni hizo......

Siwezi kusimama hapa nikapongeza nguvu za UKAWA wakati najua fika aloyafanya Lowassa akiwa CCM (baada ya mwalimu) na hasa kuunda mtandao ambao hadi leo tunalia nayo, Leo aihame CCM baada ya kuenguliwa na kuja Chadema na mtandao unaojenga CCM B nimkubali wakati najua fika aliwaahidi watu wake vyeo toka akigombea CCM na leo ahadi hizo kazijengea hema Chadema!.

Kuna habari moja ya kuchekesha na kusikitisha sana ilitokea hapo nyuma. Lowassa alimfuata Karume na kumuahidi nafasi nyeti sana ktk serikali yake ikiwa atamkubali, kisha akamfuata mzee Mwinyi na kumhahidi mwanaye nafasi hiyo hiyo ikiwa atampa support bila kujua hawa watu watakuja kutana. Mara likabuma Katika wao kuombana wamsaidie mmoja akasema kaahidiwa hiki, yule wa Pili akashtuka akasema mbona hata miye nimeahidiwa hicho hicho!... mengine yalofuata jaza mwenyewe haya ni ya Mujini...
 
Rev, what is your argument about leadership?! Or, rather, where do you stand today?
Gag,

Kuna illusion ambayo tumejijengea ambayo its very people focused than a system based leadership. uongozi si unyapara au kusema fulani mkali, mwingine mpole!

Uongozi ni uwezowa kuinua watu, wafuasi wakawa na mawazo na matendo endelevu ambayo ni objective na si subjective.

Uongozi si mtu mmoja, bali ni watu na mfumo ambao unathamini kila sauti na kila wazo.

Naomba niongelee jambo moja ambalo ndilo msingi mkuu wa hoja hii kuanzinshwa na Bob Mkandara: Ufisadi kwa matazamo wa Wagombea wawili wa urais 2015.

Tulijengewa mazingira na dhana kuwa Lowassa ndie fisadi mkuu kabla ya Chadema kumchukua, wakaja wakamrembesha sasa si fisadi. CCM wanadai mafisadi wameondoka kwenye chama chao na Rais amefika mahali anasema kuna mashetani na malaika. Zaid kaja na mbwembwe za kutumbua tumbua na kamatakamata mafisadi.

Lakini hajaweza kuelimisha umma wa Watanzania Ufisadi maana yake nini na mbaya zaidi ni pale aliposema na kuhalalisha ufisadi mdogo kwa kusema Polisi anastahili apewe "ahsante" hata ya TSh 10,000 ya kwenda kupiga kiwi viatu.

Ukiangalia hii "vita" ya ufisadi hata majuzi akiongea na UVCCM kalalamika sana kuhusu Ufisadi na kudai mafisadi wameondoka, lakini kakiri kuna ufisadi mkubwa sana ndani ya CCM na mali zake. akaendelea kusema yeye ana wabipu hao mafisadi wapate uumbe waache ufisadi.

Swali katika yote yaliyosemwa kwa mbwembwe na kuaminisha wananchi kuwa Ufisadi sasa utakomeshwa iweje bado hakuna aliyefungwa,iweje bado ufisadi unaendelea na mapigo ni kasi na nguvu ile ile?

Sasa uongozi wenye utafakari na ubora usingekurupuka kuwa ni kuuza na kulisha tamutamu ya maneno, huku ufisadi bado uko kila kona, iwe ni mkubwa au mdogo, uweni wa malaika au mashetani.

Hivyo utaona uongozi hauna vision, mfumo au mikakati inayoeleweka kukabili ufisadi.

Uongozi imara na makini ungeachana na vitendo na mambo ya matukio kuuza magazeti au kufanywa gumzo na haya mambo ya kushtukiza ambayo inakuwak ana kwamba Viongozi wanatafuta Kiki au validity kwa watu waaminiwe kuwa wana uwezo wa kuongoza.

Sana sana tunachoona ni utendaji wa vitu, ambapo si lazima kusema ni sahihi, makosa ni chungu tele...ilaUongozi bado hatujauona!
 
Mkandara,

You must be kidding! the problem is with our leaders and not leadership style, people have to change their attitude towards work and leaders, In Tanzania there is no accountability nor responsibility, thats the problem, for sure if i know that after so many years of leadership if I messed up I am going to end in jail...I definetely wont mess. But as you know this "mwenzetu" and "ndugu yetu" kind of a thing is slowly killing us!!, "got access? use it! style of leadership" is prominent in Tanzania, thats why people are willing to pay "takrima" for the leadeship!

Lets change our attitude, everything will be alright.

FD
when I see the selectiveness ya enforcing accountability inayofanywa na current administration, nabakia kucheka kuwa wanaodhani na kuamini sasa nchi itanyooka amekuja mnyooshaji, wamepotoka sana!
 
when I see the selectiveness ya enforcing accountability inayofanywa na current administration, nabakia kucheka kuwa wanaodhani na kuamini sasa nchi itanyooka amekuja mnyooshaji, wamepotoka sana!

Hivi kwa nini wale wasio ccm ghafla wanategemea serikali ya ccm kutimiza ndoto zao?
 
I can now understand clearly why we are still so badly off. We have not tackled the main problem. It is the constitution. Kenyans have recently done that and the result is there for all to see. They are flying.

We attempted to get ourselves a good constitution but at first the CCM oligarchy resisted even the notion of a debate on a new constitution. Pressure from Mnyika and a few others got them around to doing something about it but they brutally aborted the process the moment it looked like it might lead to a constitution that does not guarantee their continued rule. This sort of thing would not be tolerated by progressive sections of the Kenyan populace, particularly those at the Univerity of Nairobi, but in Tanzania CCM lords it over everyone, including university students. How sad, how very sad!

Are you there Mkandara?
 
Back
Top Bottom