Tuzungumze nao

Tuzungumze nao

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
3,773
Reaction score
5,657
Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Tanzania (JMAT) na mwakilishi Wa Mufti Mkuu Tanzania Sheikh Alhaj Mussa (Pichani) ameitaka jamii ya Tanzania kuacha kuwatenga mashoga na badala Yake Kuwa karibu nao naa kuwaasa kumrudia mwenyezi Mungu, kwani Mwenyezi atawasamehe.

Amesisitiza kuwa kuishia tu kuwalaani jambo Hilo halifai kwakua nao ni binadamu na wanahitaji msaada.

Amesema Sheikh Alhaj Mussa

#mastoryupdates
IMG_4898.jpeg
 
Waislam wanakuwa wa kwanza kukemea hizi habari, ila waislam wa awamu hii wako tofauti na wale wa awamu zile
 
Abdul Ameir Kiongozi Mkuu wa Idara ya Usalama asiye rasmi ni shoga, ikumbukwe huyu mtoto wa kiongozi wa utawala hii na mmoja wa washauri wa karibu wa mtawala huyu ni Balozi na ni Shoga.

Haya unayoyaona yanazo baraka kutoka katika regime hii, utashuhudia mengi sana katika hili kipindi cha utawala huu wa kifashisti.
 
Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Tanzania (JMAT) na mwakilishi Wa Mufti Mkuu Tanzania Sheikh Alhaj Mussa (Pichani) ameitaka jamii ya Tanzania kuacha kuwatenga mashoga na badala Yake Kuwa karibu nao naa kuwaasa kumrudia mwenyezi Mungu, kwani Mwenyezi atawasamehe.

Amesisitiza kuwa kuishia tu kuwalaani jambo Hilo halifai kwakua nao ni binadamu na wanahitaji msaada.

Amesema Sheikh Alhaj Mussa

#mastoryupdatesView attachment 3710189
Wanaoridhiana kumbe walishachagua mwenyekiti wao?
 
Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Tanzania (JMAT) na mwakilishi Wa Mufti Mkuu Tanzania Sheikh Alhaj Mussa (Pichani) ameitaka jamii ya Tanzania kuacha kuwatenga mashoga na badala Yake Kuwa karibu nao naa kuwaasa kumrudia mwenyezi Mungu, kwani Mwenyezi atawasamehe.

Amesisitiza kuwa kuishia tu kuwalaani jambo Hilo halifai kwakua nao ni binadamu na wanahitaji msaada.

Amesema Sheikh Alhaj Mussa

#mastoryupdatesView attachment 3710189
Hii taarifa itamfurahisha sana THE BIG SHOW. Kuanzia sasa hana sababu ya kuhangaika na Mapadre wa Katoliki. Akienda kwa huyu Sheikh Musa, shida yake itatatuliwa mara moja. Hatatengwa tena.
 
Back
Top Bottom