Tuwe tayari wakati wote!

Tuwe tayari wakati wote!

Upo tayari wewe , utakufa kibudu utawaacha wengine gademitt
 
Amen...ila nahisi siku unakufa ndio utamwona Yesu mawinguni,na kifo kinakuja anytime! Kuwa utakuwapo mwisho wa pamoja na daut kidogo...
 
Yesu anakuja....
Tusikate tamaa wala kupoteza matumaini.

Kwani mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakaye OKOKA!!!
Ni hayo tu wakuu....

Wish you all the best!
Mwenye "dhambi" atajiju, mimi sina.
 
😄😄😄Kwa nn tuyawaze mambo ya baadaye mno ,Kwa nn sasa tusiiwaze tuonyeshane upendo na aman ,kuliko kuwaza mambo ya baadaye (mawazo ya kufikirika)
 
Kabisa! Lakini kubwa zaidi ni kuishi maisha ya usafi na utakatifu ili ukifa uende mahala pema peponi.
 
Back
Top Bottom