Tuacheni utani bia tamu

Tuacheni utani bia tamu

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
62,639
Reaction score
181,595
Kuna ka namna unajifungia unasoma , unatafuta hela kwa fujo , ila kuna kitu unakikosa kama haunywi pombešŸ˜…

Hapa nimetoka kusoma kwa fujo siku tatu mfululizo , ila now nimeona nichomoe pombe kenye friji najiona sasa nimeitawala dunia yote🤣

Katika maisha yako wewe kama ni kiumbe mwenye akili timamu usikose bia bwashee šŸ˜…šŸ˜…
 
We muinjilisti wa bia, fanya mtihani kwanza, bia zipo tu. šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Kuna ka namna unajifungia unasoma , unatafuta hela kwa fujo , ila kuna kitu unakikosa kama haunywi pombešŸ˜…

Hapa nimetoka kusoma kwa fujo siku tatu mfululizo , ila now nimeona nichomoe pombe kenye friji najiona sasa nimeitawala dunia yote🤣

Katika maisha yako wewe kama ni kiumbe mwenye akili timamu usikose bia bwashee šŸ˜…šŸ˜…
Hebu ngoja nami nikaijaribu.Unajua sijaigida muda mrefu tangu saa tano usiku wa jana.
 
Hahaha kaka siku tatu ngumu bila bia šŸ˜… akili inachoka unaona maandishi ni ya kipuuzi tu , unasema ngoja nichambe koromeo tušŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
Hapo ile mifupa ya mwili yote ushaikariri au bado?

Nilikuwa na rafiki yangu mmoja mama wa Ki Jamaica, ana vi kadi vyake vya kukariri mifupa yote ya mwili.

Anasema usiku kabla ya kulala lazima avipitie vyote.
 
Sema mtihani kama huu unapiga kote kote bwashee, sio anatomy pekee yake 🤣 natumaini ,mama wa kijamaika alifeli vibaya mnošŸ˜…
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom