Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,340
- 79,847
- Thread starter
- #81
Sina uhakika chief.Muhanga wake aliitwa Élisabeth Bousquet, hivi hakumbaka kweli? maana alikua ni mpenzi wake na alikua anamlazimisha awe Malaya akiwa ni binti wa miaka 21
Nakumbuka juu juu tu. Ili nipate details kama ulizosema inabidi kucheki sources