Tendo la ndoa la sababisha maafa!

Tendo la ndoa la sababisha maafa!

MR 2027

Member
Joined
Aug 23, 2026
Posts
65
Reaction score
255
jamaa aua mke goma mashariki kikatili kisa tendo la ndoa.taarifa zinazotufikia zinasema kuwa jamaa alimpiga mkewe kwa mateke na mangumi,had kumsababishia mauti.
 
Jama alidai tendo la ndoa huku mke akigoma kutoa huduma jambo lililo mkasirisha mtaalam na kuchukua maamuzi magumu.
 
aise msinyimane
Adam-and-E.jpg
 
Hiyo kitu bhn ukinyimwa unakuwa na hasira sana ila mwanetu nae kafika mbali sana😀
 
Imagine jamaa ametoka uvira kwenye battle frontline alafu unakuja unamnyima! Wale hawana huruma. Ila na mwanamke alikuwa sahihi, imagine jamaa anataka tendo la ndoa,kisha ampatie mwanamke ujauzito, mtoto azaliwe huko uvira kwenye mateso ya kila aina! Unazaaje sasa wakati,muda wowote mabomu yanasikika. Aloo
 
Back
Top Bottom