Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 19,079
- 61,999
I swear lazima ntabonyeza kitufe Tu na utalipuka haswa😒moyoni mwangu natamani vitu vya kipuuzi ila muonekano ni mstaarabu kwahiyo watu nilowahi kukutana nao wote walinitreat kisabato , ila siku nikipata wa kubonyeza kitufe nitaripuka kama bomu la nyuklia🤣🤣🤣