Tangazo la kazi ya ulinzi.

Tangazo la kazi ya ulinzi.

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,436
Reaction score
7,059
Location: zanzibar
Mshahara laki nne inalipwa mara mbili kwa mwezi.
NSSF ipo(laki kila mwezi)

Maeneo ya ulinzi( contruction sites)

Vigezo
1.mafunzo jkt au mgambo
2.police clearence
3.medical exam
4.Tin number
5.wadhamini 5
6.barua ya maombi.

Kama huna cheti cha jkt njoo tuangalie namna ya kukusaidia(mkono mtupu haulambwi)

Nafasi 02 tu
Kila lakheri
 
Back
Top Bottom