Kuna umuhimu mkubwa wa kuwaogezea wafanyakazi wa idara ya PCCB wilaya ya Kigamboni maana kiukweli Rushwa kwa polisi wa usalama Barabarani imekuwa Wazi kwa kuthibitisha ilo huwa wanakaa pale kituo cha kwa Mwingira.
H alafu kila daladala linalopita unaona konda anashuka anapeleka fedha akirudi dereva anaendelea na safari kituo kingne ni pale Matikitiki kama unaenda Mwongozo.
H alafu kila daladala linalopita unaona konda anashuka anapeleka fedha akirudi dereva anaendelea na safari kituo kingne ni pale Matikitiki kama unaenda Mwongozo.