Kuna rushwa kubwa imekithiri pale Kivukoni wakati wa kuvuka. Kwa upande wa Kigamboni kuna Geti la Jeshi, hapo ukitaka kupita unatoa elfu Tatu kwa MP wa Jeshi unapita bila kupanga Foleni na ukiwa ukirudi upande wa Ferry unatoa elfu tatu pia unapita kwenye Geti la kutokea.
Ila kama una fedha za mwezi unaenda kupewa kibali na KATIBU Wizara ya UJENZI Hapo ndio sijui unampa shilingi ngapi? Naomba mfanye uchunguzi wakati wa Asubuhi na Jioni, hii ipo wazi pale wakazi wa Kigamboni watakuwa wamenielewa.