Spiritually WhatsApp is not end to end encrypted

Spiritually WhatsApp is not end to end encrypted

nyinyi IT wa kibongo michosho sana
badala ya kuleta uhalisia mnapenda kuchomekachome vizungu vya kubabaisha utasikia nimeobuti windo kwa biosi na kuipiga rooti.
Uongea ueleweke sio mnamumunya maneno
WhatsApp = Pegasus
Kama una hela unaipata, hakuna serikali dunia hii isiokuwa na Pegasus hata Burundi wanayo
 
Hakuna lolote,watu wamepata passport na uraia wa nchi za Uingereza,America, Canada kwa kutumia vyeti feki vya kuzaliwa vya nchi zenye vita kama Somalia na hakuzaliwa Somali,na mpaka sasa wako nchi za Ulaya.Hii siri wazungu hawajui,wapo wapo tu.
Wazungu hawana akili ya kinyani na kisokwe mtu primates kama wewe
Nenda kawape hizo porojo uone kama watashughulika nazo ikizingiztiwa zimeletwa na babbon
 
Back
Top Bottom