Slaa aongelea kilichomtoa Kabourou

Slaa aongelea kilichomtoa Kabourou

Songoro tunayemjua ni magamba. Umebainisha vema sifa za Kaburu. Mshauri arudi nyumbani ipatikane sababu ya kumpa nishani ya kisiasa. Unajua watu wana hasira ya Kaburu kwa sababu ya usaliti, lakini alichofanya katika upinzani ni kikubwa sana. Mshawishi arudi Upinzani. Mwana mpotevu tu huyo. Watampokea nadhani.
 
Kaburu siyo consistent, na wala sidhani ana sifa yoyote ya kumfanya awe mtu wa kukumbukwa kwa lolote ndani ya CHADEMA. Ni Kama ambavyo Kambona alivyosahauliwa na TANU na CCM

Aliposhindwa ubunge wa Kigoma mjini na kukubali kurubuniwa na CCM ili kuua upinzani pale Kigoma mjini kwa kumpa ubunge wa Afrika ya mashariki kunaonyesha udhaifu mkubwa aliokuwa nao kama kiongozi.
 
Inaelekea jamvi hili lina magwanda wengi sana....

Hebu nambieni tuone: wenzenu magamba wanawakumbuka sana waasisi wao
hata kama kuna mabaya waliyafanya hapa na pale. Wanakuza mazuri ya waasisi wao.

Walid Aman Kaburu atakumbukwa kwa lipi CDM? Na Mary Kabigi?

CCM inamuenzi vp Arcado Ntagazwa?
 
songoro,try to get your facts straight, he came so close but eventually he lost the election and then he became MP during the general election in 1995.
 
CCM inamuenzi vp Arcado Ntagazwa?

Katika Wantanzania ambao mimi binafsi naona wanastahili kuheshimiwa bila kujali itikadi ni pamojana Arcado Ntagazwa. Kipindi cha Mwinyi Ntagazwa alinyimwa support ya chama chake kwa sababu he wa too Nyerereist, na Mwinyi na wapambe wake hawakutaka watu wa aina ile. Alisota sana Mtanzania yule akiwa bila cheo wakati alishazowea ukubwa both katika secret service na public service.

CCM ina wapumbavu wengi sana. Wapumbavu hao wanapewa support na wahindi washike madaraka, na wao kwa ujinga wao wasijue hao wahindi wanajua watawatumiaje hao wajinga. Ukiwa na akili nyingi tu CCM lazima utazidiwa na hiyo mijinga na unajikuta tayari nje! Hilo ndilo lililomkuta Ntagazwa. A very gifted thinker. Nakuapita CCM hawatamuenzi Ntagazwa katu
 
He....

Nyakageni...mara hii ushasahau kwamba Kaburu ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuweka jina la CDM bungeni? Na kwamba kabla ya hapo hii CDM yako ilikuwa tu kama TPP Maendeleo. He, we vipi!

Ukumbuke pia alikuwa mtu wa kwanza kwa huku bara kufanya vyama vya upinzani vieleweke vinaweza kuingia bungeni. Mi nafikiri nyie magwanda mnalazimika kumuenzi Kaburu kwa sana tu... Hivi ukitengana na mke ndo hata mazuri yake unataka yafutwe kwenye ramani ya ukoo?

sio hivyo tu

he made a platform na mpaka leo kigoma CCM haina nguvu,
 
Kajifunzeni maana ya kumbukumbu!! Kumbukumbu ni Record isiyotegemea future,ina maana siku Slaa akirudi Ccm nae pia hamtatambua mchango wake?? Ikiwa hivyo ndo maana ya kumbukumbu basi chadema haitakuwa na kumbukumbu as hatujui kesho nan atasaliti,kumbukumbu ni matukio yaliyopita bila ya kujali kama yanakufurahisha au kukuchukiza!jifunzen kuweka unaz pemben ili bongo zenu ziendane na mada stahiki!
 
Dr.Walid Aman Walid (Kabourou) ndio mtanzania wa kwanza kuwa mbunge wa kwanza kuchaguliwa kutoka Chadema na kambi ya Upinzani kwa ujumla mwaka 1994 baada ya uchaguzi mdogo kufuatia kifo cha mbunge wa kigoma mjini Marehem Rajab Mbano,ndie mtanzania wa kwanza kukaa kwenye bench la upinzani bungen akiwa mbungee pekee toka kambi ya upinzani

Huna data, kuna m-meru aliwahi shinda wakati wa Tanu
 
tupe kumbukumbu ya Mrema, kabona..... nk waliotoka CCM
 
Huna data, kuna m-meru aliwahi shinda wakati wa Tanu

He! Kwa hiyo kuna m-Meru alikuwa mtu wa kwanza kuketi bench la upinzani bungeni wakati wa TANU. au? Nani huyo. Hebu tujuze sisi wa juzi. Tafadhali
 
Kama kwa ajili ya kutenegenezaa historia ya vyama vya siasa Tanzania Kabouru Walid Amani atakumbukwa kwa kuwasaliti vijana wa Kigoma na kusababisha wengine kupoteza maisha wakiamini wanamuunga mkono mwenzao kumbe alikuwa ki-uchumizaidi na si kwa uzalendo kama walivyoamini vijana wale maskini. Juu ya hilo ndiyo maana Mzee Aboud Jumbe hakumbukwi wala kutajwa katika historia ya nchi hii hata kuitwa kwenye sherehe za miaka 50 ya uhuru, unajua kwa nini hakuitwa na hataitwa wala kutajwa kwenye jambo lolote katika historia ya Tz. Kisa usaliti
 
Binafsi ntamkumbuka kama mwanasiasa msomi aliyesisimua siasa za ushindani wakati tuliporudi ktk mfumo wa vyama vingi. Yaliyotokea mbele yawezekana ni sababu za kiuchumi na familia. Niliwahi andika hapa siku za nyuma kwamba utawala wa Mkapa uliturudisha nyuma sana ktk utawala wa kidemokrasia. Huyu bwana alitumia dola kuhakikisha hakuna upinzani wa maana ktk Tanzania. Walid Kabourou kama mzazi yeyote alipenda watoto wake wapate elimu nzuri na baadaye maisha mazuri. Alipenda familia yake waishi kwa amani,kwa hiyo itakua ilikua ni sababu yake ya kujisalimisha. Tusione leo siasa za ushindani zimefikia hapa,kuna wenzetu walijitoa kufanya hii kazi ambayo wengine imewasababishia vifo,kufukuzwa kazi,kufilisiwa na madhila mengi. Ndiyo maana nikiona baadhi yetu wanawatukana akina Mbowe huwa sielewi!
 
Dr.Walid Aman Walid (Kabourou) ndio mtanzania wa kwanza kuwa mbunge wa kwanza kuchaguliwa kutoka Chadema na kambi ya Upinzani kwa ujumla mwaka 1994 baada ya uchaguzi mdogo kufuatia kifo cha mbunge wa kigoma mjini Marehem Rajab Mbano,ndie mtanzania wa kwanza kukaa kwenye bench la upinzani bungen akiwa mbungee pekee toka kambi ya upinzani

HIYO NI SIFA ZA KITOTO KABISAA. TUELEZE KWA KUTUMIA ELIMU YAKE KAIFANYIA KAZI GANI KUTATUA KERO YA AJIRA KIGOMA? msifie mtu anayejua kutatua kero za watu kwa kutumia elimu yake na sio mtu ambaye anatafuta sifa zake binafsi bila wewe kuongeza mboga ya pili mezani.
 
Jamani Great Thinkers hapa JF,

Naomba kumfahamu kidogo mtu huyu aitwaye kobouru. Najua alikuwa katibu Mkuu wa CDM baadaye akarudi Magamba. Naoma kujua, wakati anakuja CDM alitokea wapi, na ikawaje akarudi Magamba. Kwani namshangaa sana mtu huyu anavyoongea katika huo mkutano wa Magamba kutimiza miaka 36. Napenda kumjua angalau historia yake kwani siasa zake sizifahamu sana tangu alipokuwa CDM. Nitashukuru ikiwa nitapewa profile yake nami nimfahamu japo kidogo
 
RIP Walid Amani Walid (Kabourou)
 
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbroad Slaa, amezungumza na KLH News leo na kuzungumzia kwa kina kilichomtoa Kaborou Chadema na hali ya kisiasa na kimaisha ya Tanzania! kwa uwazi anasema juu ya majaribio ya CCM kuwarubuni wanachama wa Chadema kujiunga na chama hicho tawala!! Mazungumzo yatarushwa Ijumaa.

Usikose!
hapo katika red ndio nini?
 
Songoro tunayemjua ni magamba. Umebainisha vema sifa za Kaburu. Mshauri arudi nyumbani ipatikane sababu ya kumpa nishani ya kisiasa. Unajua watu wana hasira ya Kaburu kwa sababu ya usaliti, lakini alichofanya katika upinzani ni kikubwa sana. Mshawishi arudi Upinzani. Mwana mpotevu tu huyo. Watampokea nadhani.

Kabourou wa leo sio yule wa chadema,yaani baada yakwenda huko alipo hana lolote na nahisi atakuwa amechanganyikiwa ndio maana ameamua kuwa mlevi anakuja kwenye mkutano amelewa sana,nadhani hana tena sifa kuja Cdm tena akae hukohuko asije kutuchanganya
 
Jamani Great Thinkers hapa JF,

Naomba kumfahamu kidogo mtu huyu aitwaye kobouru. Najua alikuwa katibu Mkuu wa CDM baadaye akarudi Magamba. Naoma kujua, wakati anakuja CDM alitokea wapi, na ikawaje akarudi Magamba. Kwani namshangaa sana mtu huyu anavyoongea katika huo mkutano wa Magamba kutimiza miaka 36. Napenda kumjua angalau historia yake kwani siasa zake sizifahamu sana tangu alipokuwa CDM. Nitashukuru ikiwa nitapewa profile yake nami nimfahamu japo kidogo

Mtuhuyu alitokea Amerika alipokuwa anafundisha chuo fulani,kiukweli alikuja kigoma kwa ajiri yakugombea ubunge kwa tiketi yamagamba,alivyotemwa huko akakimbilia Cdm kwa hasira na akaanza kampeni kwa hasira na akafanikiwa vema na akawa mbunge.Alianza ubunge vizuri lakini baadae akaanza kubadilika kwavitendo vyakutokuwa mwaminifu hasa rasilimali za chama.Ikumbukwe wakati huo alikuwa katibu mkuu,alihujumu malinyingi za chama zilizokuwa kwa ajiri yakukiimarisha chama mkoa kigoma hasa pale alipoletewa computer na bwana
 
wafuasi wengi wa chadema wameingia chama hicho mwaka 2010 kwa ushawishi wa maaskofu walid kaburu watamjua wapi?

Hayo nimawazo ya aliyepoteza fahamu,sisi wala hatutaki kumjua ila tunamfahamusana kama mwizi wa maliza chama na mtu mwenye tamaa,mjue wewe unayelala kwake!
 
Back
Top Bottom