N Naughty by nature JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 2,118 Reaction score 2,365 Nov 4, 2023 #1 Wakuu Simu ya bi mkubwa inaandika ivi, itakuwa tatizo nini?
The Conscious JF-Expert Member Joined Mar 18, 2021 Posts 858 Reaction score 1,460 Nov 4, 2023 #2 Hapo amna tatizo,simu inahitaji ku update tu kwa kutumia wifi. Ila wametoa onyo kama simu hiyo ni "rooted"unaweza ukaharibu kifaa chako
Hapo amna tatizo,simu inahitaji ku update tu kwa kutumia wifi. Ila wametoa onyo kama simu hiyo ni "rooted"unaweza ukaharibu kifaa chako