Sifa za wadada waki-Machame

Sifa za wadada waki-Machame

Bloodline

Mfano nilikua na ongea na mama Kuna tabia naziona kwa wanangu mmoja wakike 2.5 years na wakiume 1 years

Wanatabia za kuzila, na wakikasilika wanajirusha hajali yupo wapi nanajitupa pia Wana kasirika kasirika 😁😄

Acha tuuu
Mnaweka umuhimu mkubwa kwenye hayo mambo ya bloodline mnasahau mambo ya environment.

Halafu hata bloodline yenyewe hampimi watu DNA kujua nani kamzaa nani.

Katika utamaduni ambao kabila linatoka kwa baba, ambaye mara nyingi anapachikiwa watoto wasio wake.

Na mama ambaye pengine hata si Mmachame.

Kwa hivyo unaweza kukuta Mume Mmachame, Mama Msukuma, baba wa binti Mmanyema.

Halafu nyie mnamuita binti Mmachame.

Mnashangaa tu, huyu Mmachame mbona ana tako kubwa hivii? Mmachame gani huyu?

Kumbe Mmanyema 😂😂
 
Lakini ukabila una nguvu gani?

Mtu kakaa Marekani miaka 30, kasoma huku tangu ana miaka 18, na kabla ya hapo kazaliwa Masaki Dar, anaijua dunia.

Bado unamfunga kwenye u Machame tu?
Genes
 
1.wajeuri 2.wajuaji 3.warembo mno 4.wanapiga waume zao 5.hawana upendo 6.hawana heshima 7.wapambanaji 8.wanaua wanaume balaa 9.wabinafsi 10.wanapenda hela mno
Sijawahi muona mwanamke wa kimachame mpambanaji,badala yake nimeona wanawake wa kimachame WAVIVU,WADANGAJI,WENYE KIBURI,ROHO MBAYA,WIVU na UBINAFSI,,sio supportive ila ni haters,,most of them Wana ngozi nyeupe LAKINI hawna HAIBA YA UZURI,wengi hawaolewi,mijini wanaishia kuwazalisha na kuwakimbia,na wakisha kongoroka wanarudi kwao,wakafie Machame
 
Back
Top Bottom