Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 37,268
- 107,169
Naomba picha😒Balls zinakuvuruga
Naomba picha😒Balls zinakuvuruga
Ulienda wap sasaNaomba picha😒
Nimekalia umbea tu 😫Ulienda wap sasa
Huku Tukuyu ni usiku sana 🤭Au ndo kumekucha huko huku kasulu tunalala
NtawekaWeka yako hapo utanipata
Upo sasaNimekalia umbea tu 😫
Usiseme tukuyu mwee Sema tokyoHuku Tukuyu ni usiku sana 🤭
Haijifichi mbonaUmenionaje nimejiziba😆
Basi tena 😒
Hata nakujua basi nimesema tu 😅Usiseme tukuyu mwee Sema tokyo
Subiri wakipungua watuBasi sawa. 😁
Nyie watu wa mjini mtapaweza kuleHata nakujua basi nimesema tu 😅
Subiri wakipungua watu
Huyu kanyooka sio kama lastbornHaya ndio mambo sasa Chica.
Na utaona vumbi tuHaya ndio mambo sasa Chica.
Nyie watu wa mjini mtapaweza kule
KumbeSubiri wakipungua watu
Mjini kwa sisi kaka hawa wa daslam wanakwambia mikoani hakuna mjiniTukuyu ni mjini mbona, Ushirika, Mwakaleli, Masoko. Mwambie kuna sehemu inaitwa Half London ipo Tukuyu. 😊
Nimepitwa tenaHaya ndio mambo sasa Chica.