Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 5,393
- 13,731
Kwnini wanaume msiwe mnapita hivyo naked😹😹Kitu gani ??? 🤣🤣🤣
Mwamba huwa anapita naked kabisa
Kwnini wanaume msiwe mnapita hivyo naked😹😹Kitu gani ??? 🤣🤣🤣
Mwamba huwa anapita naked kabisa
Halafu uko m-cute sana we binti 😀Kwnini wanaume msiwe mnapita hivyo naked😹😹
Yupi huyo ? 😋😋😋Vipi Malle na huyu vipi? 😹
Nitakuchinja. Acha kumtaja taja mke wangu.Cazee wa coca huko Kigoma El nino ishaanza naona ukungu wa kutosha..!! 😥
Kwanini unashinda vichakani?
Ndio vizuri apatane na Mallerina akamsaidie kazi za shamba.Vipi Malle na huyu vipi? 😹
Sisi tupo Hapa Ili upate mume dada yetu. Lakini wewe unatuombea mabaya. Why?!Naomba upigwe na radi😹😹😹😹aisee
Tukimuacha atajikuta anazeeka bila mume.Ajabu, sisi tunamuombea Mallerina apate mume hapa. Yeye anatubagaza.
Ingekuwa ww ungekubali😹😹😹sema ukweliSisi tupo Hapa Ili upate mume dada yetu. Lakini wewe unatuombea mabaya. Why?!
Staki me nina vitu vyangu 😹😹😹bana
🤣🤣🤣kweli mmenichoka humu jukwani live bila chenga
Huyo mnayenipa sio😹😹😹mambo yanguKwa iyo sisi hatuna vitu vyako? Haya basi sawa.