Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 4,049
- 11,368
š hizo ni picha tu zisikudanganyeHahahaha..
š hizo ni picha tu zisikudanganyeHahahaha..
SIwezi kuvumilia utaniuwa weeee
Nitakuua na nini chinošSIwezi kuvumilia utaniuwa weeee
Mbona nimenyooka kabisa hapo!Nitakuua na nini chinoš
Ila chinoMbona nimenyooka kabisa hapo!
Ananikwaza, ananiumiza roho na pata ghazab ila nakaza roho!Ila chino View attachment 3689798
Kweli wewe ni chica š„ š„°
Huyu gen z alikua anapita kama upepo šTajiri kumbe Chica Gee alitupia picha hapa na hukunitonya! Acha roho mbaya tajiri. š
Kaka Chica Gee ni pisi sana šš
Chica Gee ni mfano halisi wa uumbaji wa mungu š.Usininambie mkuu! Mweupe? š
Nani huyo chino akeeešAnanikwaza, ananiumiza roho na pata ghazab ila nakaza roho!
Nimemuonyesha shem wako kaniuliza, āUnaongozana na nani ukiwa umevaa huo upuuzi?ā š¹š¹š¹Wa motooo, nilimwambia Lamomy hata kipensi kitakuwa kizuri cha uzi.
Udugu pita nione rangi ya mtume, tena upite kwa kishindo cha wakoma kushangilia ushindi wa mnyama..!! š¹ššš
Ni kweli shem anajua.Nimemuonyesha shem wako kaniuliza, āUnaongozana na nani ukiwa umevaa huo upuuzi?ā š¹š¹š¹
Kasema nguo za beach hizo acha ushamba..!! Nimecheka sina hamu.!