Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 8,043
- 12,924
Ukiwa umeokoka ndio vizur wakat wa elnino uje nikuungamishe kwenye chumba cha kuungama hapa getton kwanguWengine tumeokoka baba, mambo ya kujiongeza hivi hatuvijuiš¤¦š½āāļø
Ukiwa umeokoka ndio vizur wakat wa elnino uje nikuungamishe kwenye chumba cha kuungama hapa getton kwanguWengine tumeokoka baba, mambo ya kujiongeza hivi hatuvijuiš¤¦š½āāļø
Tusije tukaaanza kukupepeea na feni šššš mimi day one nilipiga nikahisi kama na paa vile baada ya kupelekwa nyumbani kila nikifungua mlango nashindwa nikalala kibarazani baadae ndio akili inarudi ila nilipigwa na hangover moja matata mnoKwanini zinishinde vin?
Sarama rekoYaan sahivi nina mustachii, udevu una undindi, Sheikh kabisaa wa kutoka muscat, oman..
Hujamboo??? ššš
Getton tena! We baba.. unaanzaje kuniweka geto na huu utu uzima wangu?šUkiwa umeokoka ndio vizur wakat wa elnino uje nikuungamishe kwenye chumba cha kuungama hapa getton kwangu
Yakheeh Sheikh kwemaa?! šššSarama reko
Why always uKwahiyo nawewe unawaamini hao wapuuzi? Hujui akili za gen zero?
Saiz tunawasha vibatali labda kesho mida ya saa 6 ukungu ukitowekaHahaha hizo ndio tunazozitakaš
Aanh wapi hiki kichwa kingine, yani mpaka nazichanganya na siwehuki!! Tena umenikumbusha nna kajoint kamoja hapa kwenye pochi yangu, kana siku ngoja weekend nikanamna gani! šTusije tukaaanza kukupepeea na feni šššš mimi day one nilipiga nikahisi kama na paa vile baada ya kupelekwa nyumbani kila nikifungua mlango nashindwa nikalala kibarazani baadae ndio akili inarudi ila nilipigwa na hangover moja matata mno
Mtu mzima dawa nakuungamisha mama paroko wanguGetton tena! We baba.. unaanzaje kuniweka geto na huu utu uzima wangu?š
Kabisa unaniuliza huo utoto mimi? Kwani huoni wengine wanaanzishiwa pia, si mtu anatafuta attention kupitia mtu mwingine and thats it hakuna cha maana hapo!Why always u
Hahaha vibatari vilienda na el nino ya miaka ile! Acha kutuchotašSaiz tunawasha vibatali labda kesho mida ya saa 6 ukungu ukitoweka
Mbona nmetuma mara kibao tu ila unanikataa! Unalazimisha niwe pisi uliyonayo kichwaniš¤£Tupiamo wewe ulieko daslama tukuone
Maajabu haya kuungamanishana magetonišMtu mzima dawa nakuungamisha mama paroko wangu
Ulipo nipo, nime-selfika kwenye Whatsapp yako angalia...Kivuruge wangu njoo uselfike
Nina nokia ya tochi sasa hivi mshikaji wangu, siwezi kula selfie.š¤£šmakaveli10 niaje mshkaji wangu?
Njoo utupie kitambo sijakuona!!
Ule mwanya wako bado unazunguka kwenye kichwa changu..!! š¹š¹š¹
Ms eyes uliendaga wapi wewe Miss selfika, twiga wetu na wii wangu jamaniā¦ š»š»š»
Aww leo nmekubamba mamaake! That tummyšš
Fanya mambo kabla watu hawajaja basi ššAww leo nmekubamba mamaake! That tummyšš
Dakika moja usitokeš¬Fanya mambo kabla watu hawajaja basi šš
Sijawahi kukubamba. š
Alaaaaah! ššššDakika moja usitokeš¬
Hawatupendiš©Alaaaaah! šššš
Kwanini mnasemwa wakati wazuri sana jamani
Sio kwamba wanawapenda?Hawatupendiš©
nachungulia tu selfka nakutana na pic yako,, yu r so cuteš