Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 4,240
- 10,242
Si Bora hata awe mke!!Ndiomaanake! Kwanza mie muda wote nimechokaš
Yaliwahi kukukuta kwa wife sioš
Toto mmoja la kimmanyema!
Pamoja najitihada zangu zote ndo kwanza yeye kama anaanza.
Siku iyo nilitoa sababu za kutosha!
Mara Kuna vitu vina ni confuse oficini.