Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

tupia basi tuchangamke 🤗
Screenshot_20260628-161805_Gallery.jpg

Za porini porini kama hizi zitafaa?
 
Dahh sijapenda! Yani pumzi yake nipo hapa na humtaji🥹

nimtaje mwishoe ajikwae adondoke ili tusipelekwe ngorongoro 77 we kuweza😅😅
Nilikuwa nazichokonoa yani nikazikate tu sitaweza hizi mambo😒

jikaze usizikate,, itakua unakichwa chepesi kama changu, tafuta ile sulphur jell wanasema inasaidia na kila wiki uwe unaosha
 
Back
Top Bottom