Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 2,167
- 5,608
Kwa leo sina maneno. ๐๐ค ๐๐คyu tu kibabu, nimependa nyusi zako ni nzuriii,๐๐
Uko hot mbayaaa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kwa leo sina maneno. ๐๐ค ๐๐คyu tu kibabu, nimependa nyusi zako ni nzuriii,๐๐
Inatakiwa iwe naked photo .Hakuna cha sheria, kwani hapo hujaona member shem lake!๐
Weeee mbona unaonekana mrefu??? Hebu tupiamo kaful nionepo huo ufupiTutakoma sie mabonge mafupi mwee๐
Sina kasoro za kishamba shem, Do I lookInatakiwa iwe naked photo .
Au kuna watu watatingishika ๐๐๐๐
Shogile ulienda wapi nikajianika humu mie lol๐ฅดWeeee mbona unaonekana mrefu??? Hebu tupiamo kaful nionepo kwanza
hebu anika ya mwisho tuone๐๐Basi tu siezi anika tena thread itaekelea 50 pg huko๐คฃ
Mchawi location babu nyookaNitakataaje hela, we niletee tu ๐คญ
Nilikua nmetingwa kidogo lamama rudia nisafishe macho mie!Shogile ulienda wapi nikajianika humu mie lol๐ฅด
Uwii mabinti mnanitakia mabaya shangazi lenu๐คฃhebu anika ya mwisho tuone๐๐
haya byee mi nasinzia hapa, kesho natakiwa niende shambani na ng'ombe kila nikiwaza nguvu zinaniisha๐ชKwa leo sina maneno. ๐๐ค ๐๐ค
Uko hot mbayaaa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
asante nduguUmependeza ndugu.
Achana na maneno ya waja wee jiachie zako buanna!Basi tu siezi anika tena thread itaekelea 50 pg huko๐คฃ
Ulale unono kibibi.haya byee mi nasinzia hapa, kesho natakiwa niende shambani na ng'ombe kila nikiwaza nguvu zinaniisha๐ช
mie ni kibibi bora hata wew una ka ushangazi ka mwanzoni mwanzoni๐คญUwii mabinti mnanitakia mabaya shangazi lenu wenu๐คฃ
Nilikua nmetingwa kidogo lamama rudia nisafishe macho mie!
Wee ni shangazi mremboUwii mabinti mnanitakia mabaya shangazi lenu wenu๐คฃ
Uwii unaharibu sasa tachambwa week nzima๐Wee ni Shangazi mrembo
Ila Selfika ๐ ๐ ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Au basi
Hatareeee, ๐๐๐๐๐๐,aisee๐