Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,659
- 57,003
Nlitaka nikutolee mfano wa binti mkali JF sema nliona wenzako watajiskia vibaya.No kuna uzi kweli unatusema wadada wa jf
Mpaji Mungu anajua tena alichangiaš¤£
Nlitaka nikutolee mfano wa binti mkali JF sema nliona wenzako watajiskia vibaya.No kuna uzi kweli unatusema wadada wa jf
Mpaji Mungu anajua tena alichangiaš¤£
Winniešwow mash all h,,, vereeee mquteee š
plus kamasi na mimachozi tikatikaš¤£š¤£š¤£š¤£šš, acha tuchague dk za jioniiiiii tutakurudia kwa magoti
Usitutanie ujueš¹š¹š¹š¹ Endeleeni kuselfika waungwana..!!
Siwezi pondea mtu kwa kitu ambacho yeye hawezi kukibadilisha.khaaa kwahiyo alishiriki kutuponda? alf huku anaturembaaš¤£š¤£š¤£ Mpaji Mungu hebu njoo ujibu tuhuma
Usifanye mchezo š šmbona atatiiplus kamasi na mimachozi tikatikaš¤£š¤£š¤£š¤£
tayali jamni aaahššš¤Winnieš
Tupia hata mojaDah! Masijala ishakuwekea risiti cocastic š¹š¹š¹
Nyau we!štayali jamni aaahššš¤
hata kwa kuforce ni lazima atii šUsifanye mchezo š šmbona atatii
Kwanini mnikimbie jua likizama ndo me.How? šusitufanyie hivyo
Hatoamini kama ni sisi tulikuwa tunachaguahata kwa kuforce ni lazima atii š
yaaaas uwe unafundisha na vijana wenzio waache ufwalaaš„Siwezi pondea mtu kwa kitu ambacho yeye hawezi kukibadilisha.
ššš si ndiyo nakuwa nimejifunzaKwanini mnikimbie jua likizama ndo me.
Wewe warembo wote walioselfika hujaridhika? š¹Tupia hata moja
Na nyie sasa msiwasakame kama mambo yao hayajakaa sawa jifunzeni kuwakataa bila kuwakebehi.yaaaas uwe unafundisha na vijana wenzio waache ufwalaaš„