Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashallah ๐Ÿฅฐ ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Uduguu rangi ya mtume, mtoto mlito kabisaaa..!!

SK kapata jiko na store yake awwwww ๐Ÿฅฐ
Ndugu wa mume ongezeni mahari binti yetu kajitunza na mzuri ๐Ÿ˜น
Uduguu umeanzaaa mbwembwee, ntakosa mume ujue.
Unataka nizeeke home? Vibayaa hivyoo.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hata sisi hatuwezi kukubali kutoa mahari ndogo kwa hii mali ๐Ÿ˜‚
 
Ariririiiiiiiii itapendeza mkilipia kwa dollar ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mali swafi OG hiyo, Mzigo genuine huo..!!
Umenyooka hauna kipengele labda mje nacho nyie..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Binti yetu anajua kumiliki mpira, kuanzia winga wa kati, beki wa nyuma na mbele hadi pembeni anazuia mashuti..!!
 
Uduguuu, leta ๐ŸŽค, utakimbiza wakwe ujue?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ariririiiiiiiii itapendeza mkilipia kwa dollar ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mali swafi OG hiyo, Mzigo genuine huo..!!
Umenyooka hauna kipengele labda mje nacho nyie..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Binti yetu anajua kumiliki mpira, kuanzia winga wa kati, beki wa nyuma na mbele hadi pembeni anazuia mashuti..!!
Mmmmmmmmm
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ulivyo kisu hivo huwezi kuzeekea home.
Hapo lazima mahari million 50 na ngโ€™ombe za usukumani zisizopungua 40 zenye ujazo wa kutosha..!!
Million 50? Haya matusi sasa, sisi tunaandaa 100 ๐Ÿ˜‚

Kuhusu ng'ombe hapana hatuwezi mnasibisha shemeji yetu na mavi ya ng'ombe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Tafute kingine ila siyo ng'ombe ๐Ÿ˜‚

cocastic
 
Na ist ya dada mkubwa ya kwendea kujumlia vijora, nishaongeza mahari ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
DA mkubwa unapewa Range, ukikatiza mtaa wa Congo, bas mawinga wote, kibwagizo "boss boss boss huyoooooooooo"
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom