Sasa leo sijui niandike nini.....

Sasa leo sijui niandike nini.....

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,103
Reaction score
15,241
Najaribu kutafuta masihara ya hapa na pale naona daaah nimeishiwa.....

Naangalia angalia fix za kupiga naona mtihani......

Story za kitambo naona zishaanza kuwaboa ngedere,,,,,

Mambo ya misambwanda na kuzagamuana...yaani kupiga para naona haya ndiyo yana mashabiki..

Lakini haya mambo ya kupiga miti hayana barka wala mashiko...ni kujitia tu nuksi tu...

Labda kula weed

AU VOP


View: https://www.youtube.com/watch?v=-wF9s3XggCg&list=RDu2x7RdbK3Co&index=3
 
Story zenye wafuasi humu kwa sasa ni za aina tatu tu, leta za siasa kama za kumhusu lissu Au Iran na Israel, leta mada za pombe kama za jamaa humu jukwaani au leta za mapenzi bila kuwasahau singo maza kama case study.

Nakuhakikishia hapo utapandisha sukari za watu humu ndani na watamwaga mapovu

Ila platinum memba daah😅😅
 
ila platinum
Hizo Zipo za aina 2

1. Kukaa muda mrefu JF na ukawa unachangia mada mara nyingi, unaweza ukawa zuzu tu ila ukawa platinum member sababu umekuwepo kwa muda mrefu na umekua ukichangua mada mara kwa mara, usisahau kuna wadau tangu 2007 wapo na sio platinum member

2. Hujajiunga kitambo ila ni mtu wa kuanzisha sana mada ndefu mara nyingi zinazokua na wachangiaji wengi, na unachangia mada mara kwa mara umejiunga 2017,2018,2019,2020 na una utaratibu huo unawekwa kua platinum member

Kua platinum member haimaanishi wewe ni Jinius
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom