MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 592
- 781
Kampuni ya usafilishaji wa anga ya Rwandair, yapata nchi mpya 12 ambazo itakuwa inafanya safari zake.
Ni baada ya kutangaza kufuta baadhi ya safari,kutokana na kufungiwa anga na jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Badhi ya nchi hizo ni Eswatini, Guinée, Liberia, Malawi, Mali, Zimbabwe, France, Georgia, Pologne, Oman, Suriname na Canada.