Rostam alikosea wapi?

Hapa naona mikataba iliyovunjwa ila sijaona hukumu za mahakama

===
Miaka nane kesi zinaendelea. Kesi za michongo.
 
Wewe ni mjinga sana
Unafananisha mahakama za nchi za western na za Tanzania we hamnazo

Unashindwa kutofautisha mambo ya siasa za kimataifa na mahakama hiyo kuzui tank inahusiano gani na mahakama
 
Karibu ujingani. Utatusaidia sana kupaisha umaarufu wetu.
Kesi ya lissu ukiangalia hukumu ambayo inatakiwa kuwekwa online ili tuweze kuisoma mara amesign judge mmoja ilihali walikuwa watatu, mara iwekwe waliosign watatu ilihali page zimeongezeka maradufu, mara itolewe, irudishwe kweli unaweza fananisha hiyo mahakama na ya nchi nyingine kama za western
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…