Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,178
- 169,036
Hicho kitabu alimaliza kukisoma kweli? Manake unasema kila anapokiweka kinahama chenyewe, au kilipotea kabisa?
Kama kinahama chenyewe kilitulia library miaka yote kumngoja Ally?