Habari zenu wakaazi wa Arusha. Ninaomba kujua kati ya Radio 5 na Radio Tripple A ni radio ipi inasikilizwa sana Arusha ? Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu.
Kweli Radio 5 iko masafa mengi na inaendelea kwa kasi ya ajabu. Triple A imedumaa sijui kwann dah jamaa aongeze dau atanue mbali zaidi. Wadogo zake wanakuja wanamkuta wanamwacha mbali..Radio 5 ndo radio pekee toka arusha inayo tambulika na watanzania
Radio 5 ndo radio pekee toka arusha inayo tambulika na watanzania
Kweli Radio 5 iko masafa mengi na inaendelea kwa kasi ya ajabu. Triple A imedumaa sijui kwann dah jamaa aongeze dau atanue mbali zaidi. Wadogo zake wanakuja wanamkuta wanamwacha mbali..
Hebu imagne kipindi nakuwa nyumban maeneo hayo tena jirani kidogo whiterose kuna kamtaa kanaitwa mangurueni ama kwa ojare hupati masafa yake kabisa mpaka mtu unasahau kama kuna hio radio.
Kwa hiyo mkuu unaniambia tukitangaza kwa Radio 5, impact yake itakuwa nzuri? Je unadhani kutakuwa na ulazima wa kutangaza pia kwa redio za DSM ambazo zinasikika nchi nzima?
Triple A Fm inashindwa hata na Sunrise Radio. Watangazaji wake wako hovyo na hawana vipindi vizuri kabisa. Kwa Arusha ni Radio 5 na Sunrise Triple A ubabaishaji.
Unazungumzia radio ipi. Radio 5 au Tripple A ?
Kwa hiyo mkuu unaniambia tukitangaza kwa Radio 5, impact yake itakuwa nzuri? Je unadhani kutakuwa na ulazima wa kutangaza pia kwa redio za DSM ambazo zinasikika nchi nzima?