Profesa Lipumba kuunguruma Muhambwe leo

Profesa Lipumba kuunguruma Muhambwe leo

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,188
Reaction score
570
Mchumi bingwa wa dunia na Tz,ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF, profesa Ibrahim Haruna Lipumba leo yupo hapa jimbo la Muhambwe wilaya ya Kibondo,na anatarajiwa kuwa na mkutano mkubwa wa wazi katika viwanja vya ukumbi wa vijana (Community Center) majira ya kuanzia saa kumi kamili za jioni.

Professa Lipumb ambaye ni mwenyekiti mwenza wa UKAWA,yupo katika ziara ya kuimarisha chama chake.

Nitawaletea taarifa zaidi na picha mkutano ukianza ,kwani nipo eneo la tukio.
 
Hivi ndivyo mbatia naye anatakiwa kufanya, siyo kujikalia ofisini tu na kutaka kupewa majimbo mengi kwa mgongo wa cuf na cdm.
 
ukawa pitisheni huyo tuwape kura za kishindo na sio vinginevyo,
 
mchumi bingwa wa dunia na tz,ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf, profesa ibrahim haruna lipumba leo yupo hapa jimbo la muhambwe wilaya ya kibondo,na anatarajiwa kuwa na mkutano mkubwa wa wazi katika viwanja vya ukumbi wa vijana (community center) majira ya kuanzia saa kumi kamili za jioni.

Professa lipumb ambaye ni mwenyekiti mwenza wa ukawa,yupo katika ziara ya kuimarisha chama chake.

Nitawaletea taarifa zaidi na picha mkutano ukianza ,kwani nipo eneo la tukio.
kazi imeaaaaaaza
 
Baadhi ya watu ambao ndo kwanza wanafika kwenyr mkutano huu
 

Attachments

  • 1435844134128.jpg
    1435844134128.jpg
    26.4 KB · Views: 317
Tunamsubiri professa wa ukweli na sio yule wa kichina
 

Attachments

  • 1435844295279.jpg
    1435844295279.jpg
    22.6 KB · Views: 266
Hivi Mbatia mikutano yake anaifanyia wapi?hiyo ndo tofauti iliyopo kati ya NCCR na CDM/ CUF,halafu wanataka majimbo mengi huku wamelala.
 
mapi8.jpg
Nduhi Mapigano

Mbunge wetu Mtarajiwa wa Jimbo la Muhambwe cha tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)

Kijana msomi, aliyejikita katika masuala ya Tawala za Mikoa, Manispaa na halmashauri.

HISTORIA YA ELIMU YAKE KWA UFUPI:
Elimu ya msingi: 1994-1996 – Kibondo shule ya msingi (Kibondo)
: 1996-1999 – Kyeza shule ya msingi (Kigoma)
: 1999-2000 - Kanyamahela shule ya msingi (Kibondo)
Elimu ya sekondari: 2001-2004 – Kibiti sekondari (Rufiji, Pwani)
Kidato cha tano na sita: 2005-2006 – Meta sekondari (Mbeya)
: 2006–2007 – Midlands sekondari (Dar es Salaam)
Elimu ya Chuo Kikuu: 2007-2014- People's Friendship University of Russia (Moscow, Russia)
Chuo kikuu cha Urafiki Lumumba (Nchini Urusi)
Fani: Shahada ya Uzamili ya Utawala katika Serikali Kuu na Serikali za Mitaa
: (Master Degree in State and Municipal Administration.)
 

Attachments

  • mapi5.jpg
    mapi5.jpg
    28.5 KB · Views: 333
Picha mbalimbali za mh Lipumba alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa vijana
 

Attachments

  • 1435846258756.jpg
    1435846258756.jpg
    26.3 KB · Views: 249
  • 1435846278890.jpg
    1435846278890.jpg
    29.7 KB · Views: 218
  • 1435846311499.jpg
    1435846311499.jpg
    25.1 KB · Views: 215
Watazamaji wa mkutano
 

Attachments

  • 1435846426428.jpg
    1435846426428.jpg
    27.7 KB · Views: 199
  • 1435846464197.jpg
    1435846464197.jpg
    35.2 KB · Views: 214
Tayari mambo yameiva wakuu mchumi bingwa yupo jukwaani,mtanisamehe kwa baadhi ya picha kutokuwa na ubora kwani nipo mbele high tabwe kama mwenyekiti wa CDM Muhambwe,so napata feont view tu
 

Attachments

  • 1435846941077.jpg
    1435846941077.jpg
    30.1 KB · Views: 196
  • 1435846966946.jpg
    1435846966946.jpg
    27 KB · Views: 180
  • 1435846989786.jpg
    1435846989786.jpg
    29.1 KB · Views: 179
  • 1435847010730.jpg
    1435847010730.jpg
    30.5 KB · Views: 176
ZITTO akiwaambia kuwa kuna uwezekanio wa ACT kuzoa majimbo yote mnakataa sasa jioneeni mikutano yenu ilivyodhofika. hahahahaha
 
ukombozi wa mtanzania uko mlangoni bila kupapasa macho
 
Back
Top Bottom