Kakondele
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 242
- 215
Natafuta mtu wa kubadilishana nami gari aina ya NISSAN CIVILIAN kwa basi kubwa, kama vile:
Tata
Scania yoyote basi
Au basi lolote kubwa.
✅ Gari liko katika hali nzuri kabisa.
✅ Halina tatizo lolote.
✅ Lipo Sumbawanga – Rukwa.
✅ Popote ulipo Tanzania, gari linaweza kufika.
🤝 KWA ATAKAYETAKA KUBADILISHANA:
Kuna pesa itaongezwa juu ya makubaliano yetu.
💰 UNATAKA KUNUNUA?
Pia unakaribishwa. Karibu tufanye biashara.
📞 MAWASILIANO:
Call | SMS | WhatsApp
0740069477